FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Kombe la mapinduzi halishobokewi kivipi wakati kila mwaka mnaenda kushiriki?
Kwa vikosi gani?

Kushiriki kombe kwasababu ni sheria ni tofauti na focus yenu ya kimahesabu kwamba mnajitoa kwa nguvu zote kupigania mlipate.

Sasa tumia maneno yasiyozidi 10 kuelezea kwanini wachezaji muhimu hawachezi mashindano hayo na badala yake vinaingizwa vikosi B au kufanya majaribio ya baadhi ya wachezaji?
 
Kichaka pekee mlichobaki nacho
 
Aat least ka kisasi kameonekana sio kale ka Ihefu kisasi halafu Ihefu wanawalipia kisasi goli la kujifunga....
IIla Ihefu kiboko yenu...uchawi wenu pale unadunda..
 
Back
Top Bottom