FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

Duh, kama ulikuwa hukijui kitu kinaitwa nongwa ndo hichi sasa....!

Okrah alishapona...kacheza mechi kadhaa, We bado unalo tu.
Uwe unasoma na kuelewa wapi nmesema okrah bado mgonjwa na nhachezi kwenye hiyo comment?
 
Kwa jicho langu, sidhani kama BENCHIKA ana jipya sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…