Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Au kichanikeHahaha, I will never be underweight!.
Ni mapito ya kawaida. Tutakuwa imara msimu ujao. Binuka binuka tu uachie kijambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kichanikeHahaha, I will never be underweight!.
Ni mapito ya kawaida. Tutakuwa imara msimu ujao. Binuka binuka tu uachie kijambo.
Tuna ngao ya jamiihaya ndiyo mashindano yenu na hili kombe litawafariji
Mnashindania nini?Vyura wanajilaumu sana kujitoa mashindano haya
ephen_Au kichanike
Uwe unasoma na kuelewa wapi nmesema okrah bado mgonjwa na nhachezi kwenye hiyo comment?Duh, kama ulikuwa hukijui kitu kinaitwa nongwa ndo hichi sasa....!
Okrah alishapona...kacheza mechi kadhaa, We bado unalo tu.
hongera sana na wazanzibar wanavyojua kuvunja miguu ngoja wawaoneshe kaziTuna ngao ya jamii
Hakichaniki hii ni elastic🤸🤸🤣🤸🤸
Sitaki! Wewe dokta wa mchongoIkichanika, leta niishone. Hulipii hata mia 😄😄
Ruka ruka.Sitaki! Wewe dokta wa mchongo
Nataka dokta mwananchi💛💚🤸
Acha nikuache! Usije kulia bure mpaka mlenda wa pua😂Ruka ruka.
Sawa, halali yako kuchagua. Utanasa tu.
haya ndiyo mashindano yenu na hili kombe litawafariji
Mpira una sheriahongera sana na wazanzibar wanavyojua kuvunja miguu ngoja wawaoneshe kazi
Kwavile wote mnagombea nafasi ya pili kwenye NBC, Azam watawapunguza makali huku huku kwenye muungano kwa kuwapiga kwanja wachezaji kadhaa ili wawe nje kwa michezo yote iliyosaliaFainali Simba na Azam
Kombe La Muungano
Kombe Kubwa