FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Kibu na Bocco watoke tu waingie Okrah na Mohammed Mussa. Kazi aliyepaswa kuifanya Kibu haifanyi, hapigi pasi nzuri akiwa na mpira, harudi kukaba.
 
Saidoo hayuko kwenye form kabisa. Sjui kala maharage ya wapi leo.
Kwani si ndiyo huyu huyu aliyecheza mechi 2 tu na kutupia goli 5! Mpeni muda bhana!

Si umeona hata Kepteni John Bocco na yeye anamfukuzia Mayele kutwaa kiatu cha dhahabu msimu huu!!
 
Back
Top Bottom