Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Page ya tisa hii ila kesho huenda hata zisifike hukuKwani tunawashangilia, nyinyi! Sisi mbona tupo upande wa Dodoma Jiji! Au mnataka huu uzi mchangie wenyewe tu! Mbona hautanoga!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Page ya tisa hii ila kesho huenda hata zisifike hukuKwani tunawashangilia, nyinyi! Sisi mbona tupo upande wa Dodoma Jiji! Au mnataka huu uzi mchangie wenyewe tu! Mbona hautanoga!!!
Kweli kabisa,key players wetu hawa.....anawakosea heshima sanaWaingie kina nani, ndiyo wachezaji wetu tegemeo
Uko sahihi kabisa. Mashabiki wa Yanga hatuna presha. Lakini tumeshazoea ushindi. Ni tofauti kabisa na nyinyi. Muda wote roho zipo juu juu!Page ya tisa hii ila kesho huenda hata zisifike huku
Guvu moya 😀Uko sahihi kabisa. Mashabiki wa Yanga hatuna presha. Lakini tumeshazoea ushindi. Ni tofauti kabisa na nyinyi. Muda wote roho zipo juu juu!
Wananchi leo tuna imani na Dodoma Jiji!! Hivyo wasituangushe.Dk ya 37 nyau nyau
Basi mpo vizuri kwa hiyo tukiwasimanga nyumban kwetu mtuache maana ninyi wageniUko sahihi kabisa. Mashabiki wa Yanga hatuna presha. Lakini tumeshazoea ushindi. Ni tofauti kabisa na nyinyi. Muda wote roho zipo juu juu!
Guvu moya 😀Wananchi leo tuna imani na Dodoma Jiji!! Hivyo wasituangushe.
Kwani si ndiyo huyu huyu aliyecheza mechi 2 tu na kutupia goli 5! Mpeni muda bhana!Saidoo hayuko kwenye form kabisa. Sjui kala maharage ya wapi leo.
Tumuache Da TatuHii mechi ishaharibiwa na huyu Beijing. Filimbi nyingi bila sababu