FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Simba walishaonyesha mapema hawataki ubingwa toka ile mechi wamecheza na Yanga.
 
Kama kuna mwana Simba alikuwa na matumaini ya ubingwa msimu huu......basi anatakiwa akapimwe akili...... mwenendo wa timu na mipango ya timu haionyeshi kuwa timu itakuja kuchukua UBINGWA hivi karibuni.....naanza kupatiwa na wasi wasi na ndugu muwekezaji kama kweli na mipango ya kunyanyua Simba au ni ujanja ujanja tu.........
 
Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
Mmeshapotea nyie badala ya kugombea kikombe mmefikia hatua ya kugombania kiatu sasa ! na mbaya zaidi kiatu mnachogombea sio mkipate nyinyi...huu ni ujuha uliopitiliza!
 
Sisi tunataka George afunge hata hat trick hatujali. Tunachotaka game iishe sare au mfungwe ili tutangaze ubingwa mapema tusichoshane.
Ukweli ni kwamba mtachukua ubingwa mkiwa mmechoka sana 😁😁

Halafu kimataifa mmetengewa mechi mbili guy, mnarudi Kuna kugawa bahasha na kwenda kwa waganga na Alphard nyeusi huko ipogoro mwanza kama mlivyofanya jana ili eti mumfunge Simba tarehe 28.
 
Tarehe 28 lazima muwashe moto uwanjani
 
Kama ligi imekuwa ngumu basi ni dhahiri tumekuwa na timu bora zenye ushindani

Sasa mbona kwenye mashindano ya kimataifa zinatolewa mapema?
Ligi ya Zambia na yetu ipi bora? Waliingiza timu ngapi uko Kwenye robo au nusu ya mashindano ya CAF?
 
Kama ligi imekuwa ngumu basi ni dhahiri tumekuwa na timu bora zenye ushindani

Sasa mbona kwenye mashindano ya kimataifa zinatolewa mapema?
Tunaonga sana mpaka kwenye mashindano ya kimataifa, wewe hujui kitu!
 
Asa ina maana Yanga imefikia hatua ya kushindana na ndumba fc? Dah kama kweli basi Yanga nawashauri waache haya mambo ya ndumba maana wakali wa ndumba hatuwawezi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…