FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Sasa kwanini mteleze
Kwani wewe hujawahi kuteleza katika maisha yako? Kuteleza ni jambo la kawaida katika maisha ya binadamu. Kwa hiyo hakuna kitu cha ajapu na kipya katika hilo. Ni kama vile Yanga walivyokuwa wanateleza kwa miaka 4 mfululizo hawajatwaa ubingwa. Sasa wamesimama na kuchukua ubingwa.
 
Kuteleza sio kawaida na haitakiwi kuwa kawaida
 
Huu usimba na uyanga wenu utawauweni kabla ya siku zenu.

Yanga akiwa juu tu basi hata kama kuna jema simba alilofanya halitazamwi, hivyohivyo na simba akiwa juu hata kama kuna jema lililofanywa na yanga halitazamwi.
 
Kwani Simba ina mpango na ligi ya NBC?....Simba kombe letu ni la CAF tu, Huku nyumbani tunawaachia Yanga.
 
Wataalamu wa kukokotoa mtuambie point gap ni ngap ? na zimebaki game ngap ligi kuisha .
4 tu...... Mikia wakishinda mechi zote wanafikisha points 66,tukishinda kesho tunazifikisha na kuwa mabingwa maana tumewazidi magoli ya kufunga
 
Tunamsubiria Inonga hiyo 28
Kocha wake kwenye post match interview alidai ni majeruhi.......watapata visingizio hawa tarehe 28, maana kuna Manula kakatwa nakioo, Kapombe kaumia pamoja na Bocco, Inonga haeleweki...... Chama alitoka na injury RS Berkane.....hayo yote kayasema kocha wao......
 
Sasa Manula kakatwa na kioo Tena .... Saloon za like alifuata Nini .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…