Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ila watu mna siri sana kumbe leo wamevutishwa pumzi ya moto wenyewe daah..😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 huwa hamtafuti mchawi kwa kuwa nyinyi wenyewe ni wachawi 😂😂. South Africa mlidhihirisha hilo mlipowasha 🔥🔥🔥🔥Kawaida hiyo Simba huwa hatutafuti mchawi 🤣🤣
Kweli hata sisi tumeona..Mnyama mkali Simba sc tafuna hao watoto wadogo Geita Gold.
SIMBA NGUVU MOJA
Nyie msimu huu timu hamna inabodi mfanye usajiri wa maana sanaKawaida hiyo Simba huwa hatutafuti mchawi 🤣🤣
Kwani wewe hujawahi kuteleza katika maisha yako? Kuteleza ni jambo la kawaida katika maisha ya binadamu. Kwa hiyo hakuna kitu cha ajapu na kipya katika hilo. Ni kama vile Yanga walivyokuwa wanateleza kwa miaka 4 mfululizo hawajatwaa ubingwa. Sasa wamesimama na kuchukua ubingwa.Sasa kwanini mteleze
Kwani wewe hujawahi kuteleza katika maisha yako? Kuteleza ni jambo la kawaida katika maisha ya binadamu. Kwa hiyo hakuna kitu cha ajapu na kipya katika hilo. Ni kama vile Yanga walivyokuwa wanateleza kwa miaka 4 mfululizo hawajatwaa ubingwa. Sasa wamesimama na kuchukua ubingwa.
Kwani Simba ina mpango na ligi ya NBC?....Simba kombe letu ni la CAF tu, Huku nyumbani tunawaachia Yanga.Kama kuna mwana Simba alikuwa na matumaini ya ubingwa msimu huu......basi anatakiwa akapimwe akili...... mwenendo wa timu na mipango ya timu haionyeshi kuwa timu itakuja kuchukua UBINGWA hivi karibuni.....naanza kupatiwa na wasi wasi na ndugu muwekezaji kama kweli na mipango ya kunyanyua Simba au ni ujanja ujanja tu.........
Ndiyo kunakuchaMahala ulipo ni usiku muda huu?
4 tu...... Mikia wakishinda mechi zote wanafikisha points 66,tukishinda kesho tunazifikisha na kuwa mabingwa maana tumewazidi magoli ya kufungaWataalamu wa kukokotoa mtuambie point gap ni ngap ? na zimebaki game ngap ligi kuisha .
Kocha wake kwenye post match interview alidai ni majeruhi.......watapata visingizio hawa tarehe 28, maana kuna Manula kakatwa nakioo, Kapombe kaumia pamoja na Bocco, Inonga haeleweki...... Chama alitoka na injury RS Berkane.....hayo yote kayasema kocha wao......Tunamsubiria Inonga hiyo 28
🤣🤣🤣Mtaturleza zile Sare mmezipataje?
Unawachoma aisee ujue
Sasa Manula kakatwa na kioo Tena .... Saloon za like alifuata Nini .....Kocha wake kwenye post match interview alidai ni majeruhi.......watapata visingizio hawa tarehe 28, maana kuna Manula kakatwa nakioo, Kapombe kaumia pamoja na Bocco, Inonga haeleweki...... Chama alitoka na injury RS Berkane.....hayo yote kayasema kocha wao......
Punguza unoko basi ☹Ngoja nimuite mwalimu wangu wa hesabu OKW BOBAN SUNZU aje anisaidie. 🤣🤣