Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tena za wazi mbele ya mwamuziNamungo wanacheza rough nyingi
Rekodi zinavunjwa piahao kwenu ni vibonde hawajawahi hata kuwashinda
Ukiotewa imeisha iyoHii mbinu Ya Kupaki Basi ambayo Siku hizi Inaitwa 'Kucheza nyuma Ya Mpira' ni mbaya Sana..!
kaingia tu na kubarikiwa kadiAkpan yellow card