Unajua maana ya kujihusisha na dawa za Kulevya? Au akili yako ni Kiutopolo topolo huwezi Kung'amua hiloHizi zilikua tuhuma we mbumbumbu na ukweli ukasimama,huyu kocha wetu kadakwa na kete[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuhuma za kujihusisha?kiswahili mbona rahisi sana hicho bwana ngada? anyway leo kibu apunguziwe kiwango cha ngada nna uhakika atatupia.Unajua maana ya kujihusisha na dawa za Kulevya? Au akili yako ni Kiutopolo topolo huwezi Kung'amua hilo
Halafu mbona kama umeng' aka mno shida ni nini.!?
Unaleta stori za chili ya mpuuzi Magufuli na genge lake dhidi ya Manji!! 🤣🤣Kwa hakika Nyani Haoni Kundule 16 February 2017 View attachment 2418513
Limedumu la MBUMBUMBU FC lije lipite la NGADA FC..!!?? Nani kasema?Hili nalo litapita tu
ALikutwa na kilo ngapi za ngada? Maana huko kwa SImba mwamba kakutwa na kilo 34.89..!! Haya taja kilo alizokutwa nazo ManjiKwa hakika Nyani Haoni Kundule 16 February 2017 View attachment 2418513
Jamaani nimeleta tu kumbukizi kuwa haya mambo yanazunguka na nimefunga mjadala kuanzia sasaALikutwa na kilo ngapi za ngada? Maana huko kwa SImba mwamba kakutwa na kilo 34.89..!! Haya taja kilo alizokutwa nazo Manji
Kumbe huna data..!! Umeanzisha kitu usichokijua..!!Jamaani nimeleta tu kumbukizi kuwa haya mambo yanazunguka na nimefunga mjadala kuanzia sasa
Na kama nimewatekenya basi niwie radhi wakuu [emoji16]
kasome taarifa kamili na ujiridhishe na si kuleta porojo.ALikutwa na kilo ngapi za ngada? Maana huko kwa SImba mwamba kakutwa na kilo 34.89..!! Haya taja kilo alizokutwa nazo Manji
Mleta taarifa alete taarifa kamili..!! Hawezi leta taarifa nusunusu huku akiitegemea taarifa hiyo ndo iwe ushahidi..!kasome taarifa kamili na ujiridhishe na si kuleta porojo.
Kolo a.k.a mbumbumbu a.k.a mwana ngada FC, tofautisha tuhuma za kujihusisha na ngada na kudakwa na ngada..!! Unakumbuka LISU alikataa kupimwa mkojo?? Unajua sababu??Unajua maana ya kujihusisha na dawa za Kulevya? Au akili yako ni Kiutopolo topolo huwezi Kung'amua hilo
Halafu mbona kama umeng' aka mno shida ni nini.!?
Mchezo utakua mgumu kwa pande zote mbiliKama si Mbiringe bila shaka ni Patashika ya Ligi Kuu Tanzani Bara [emoji1241] kuendelea kupigwa leo Jumatano ya Novemba 16, 2022 kwa Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kukiwasha vilivyo na Wababe wa Kusini Namungo FC, katika Uwanja wa Stade de Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam [emoji2522]
Mchezo unatarajiwa kuwa ngumu kwa pande zote mbili kulingana na maandalizi na ubora wa vikosi vyao huku makocha wote wakisema kuwa wapo tayari kwa mchezo huo. Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda amesema kuwa maandalizi ya mchezo yapo vizuri.
"Kwa ujumla ni kwamba maandalizi ya mchezo wa leo yanakwenda vizuri, kwa maana kuwa tupo tayari kucheza mchezo wetu na mpinzani wetu kutoka Lindi". alisema Kocha Mgunda.
Naye Kocha Msaidizi wa Namungo FC Shadrack Nsajigwa kuelekea kwenye mchezo huo amesema kuwa wamejiandaa kushindana na Simba SC.
"Kimsingi tumekuja kushindana na Simba SC, tumepata muda wa kujiandaa kiasi cha siku 8 kwahivyo timu yetu ipo tayari kwa ajili ya kushindana na Simba SC". amesema Kocha Shadrack.
Tutegemee kuona ushindani wa kweli ndani ya dakika 90 za jasho na damu kutoka pande zote mbili katika kugombea alama tatu muhimu za Ligi Kuu Tanzania Bara..[emoji288]Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 1;00[emoji354] Usiku.. Usikose Ukaadithiwa Yaani.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.[emoji2424][/B]
Hukumu ikawaje?Kwani unatakaje yaani.. Kwani Manji hakutuhumiwa na Dawa ya Kulevya? Hakufikishwa Mahakamani?
Hebu ona kakijana kadogo tena kanakipaji kikubwa lkn kamejiingiza kwenye ngada.Anakuja na Style tofauti baadala ya ile ya Kunyunyiza. Pape SakhoView attachment 2418542
Tutajie wewe uliemkuta nazo. Ngada fc wahediii weweALikutwa na kilo ngapi za ngada? Maana huko kwa SImba mwamba kakutwa na kilo 34.89..!! Haya taja kilo alizokutwa nazo Manji
Alikutwa na kilo ngapi?Kwani unatakaje yaani.. Kwani Manji hakutuhumiwa na Dawa ya Kulevya? Hakufikishwa Mahakamani?