FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Tatizo wakuingia ni nani,Kiyombo nae vile vile tu afdhali yake ni kidogo sana labda amjaribu Bocco na nje hatuna winga yoyote
Kweli mkuu huyu Kyombo kuna muda anazingua sana, nadhani kuna sababu kocha kumuweka bench japo sisi tunaona Kibu anafanya makosa ilan huwenda ana afadhali kuliko Kyombo
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Mkapa.. Hakuna mabadiliko kwa timu zote mbili.

Simba SC 1-0 Namungo FC
 
mechi imepoa mnooo sijui kwa sababu wote ndugu moja

hawa namungo wakisikia ni mechi na yanga wanakakamaa hatari hapa wame devera hadi sio powa.
 
mechi imepoa mnooo sijui kwa sababu wote ndugu moja

hawa namungo wakisikia ni mechi na yanga wanakakamaa hatari hapa wame devera hadi sio powa.
Tukiubonda mwingi hamkawii kusema mmecheza na vibonde
 
Back
Top Bottom