FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Huyo Ten Hag ni kocha wa hovyo sana, utaanzaje mpira kwa kupaki basi wakati wenzako wanafahamu vizuri kwamba ikili yako yote iko kwenye conter attack. Yeye alifikiri anacheza tena na Arsenal.

Hili kombe linaenda kutwaliwa tena na Man City, sioni tena timu ya kuwasimamisha.
 
Muda sio mrefu utashangaa wanatuletea mzungu kutoka Serbia, hivi haiwezekani timu ikashikwa na hii combination 1. Mgunda,2. Matola,3. Mgosi
Juzi tu alipokuwapo mzungu mlikuwa mnamtukana Matola
 
Hivi Huyo HENOCK aliyepo kwenye Kikosi Ni Yupi? Mbona Jana sijamuona?
Yalifanyika mabadiliko ya Henock na kumuweka Kennedy muda mchache kabla ya kuanza kwa mchezo.

Henock alipatwa na tatizo la kiafya taarifa sahihi kutoka Simba SC Imeeleza
 
Simba itawashangaza mwaka huu. Lile jiwe waliolkataa waashi maliziaaa limekua jiwe.......
 
Jamani mbona kama siowaoni kina Inonga,sakho n.k kuna nini?
 
Siku imeharibika mapema let me wait kwa ndugu zangu wa nyumbani Lunyasi

Yaani sisi wa kula nne first half [emoji848]
Ila mlijitahidi mbona? Tatu sio ndogo. Ila ukishabikia timu za Ulaya unaweza ufe aisee mimi ni Liverpool sema nashabikia siku wakishinda tuu.
 
Back
Top Bottom