kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Akipangwa hiyo mechi lazima tufungwe tu. Kwa kasi ya mpira wa yanga yule hafai hata kidogo.Mkude atoke.
Atakula Yellow soon akosekane match na mtani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipangwa hiyo mechi lazima tufungwe tu. Kwa kasi ya mpira wa yanga yule hafai hata kidogo.Mkude atoke.
Atakula Yellow soon akosekane match na mtani.
App mbona haina Azam TvMechi Ipo LIVE hapa DOWNLOAD
benchi la ufundi limechelewa sana kuwatoa hawa watu.81'
Mabadiliko kwa upamde wa Simba
Bocco out
Kibu out
Kyombo in
Okwa in
Ndo shida ya makocha wa kuokotaUnawaacha kina Kyombo nje unaweka Bocco,daah
Huyu bado, nahisi alikuwa injuryAkpnan mbona hatumiki sana?
Sasa jeeeeeUnawaacha kina Kyombo nje unaweka Bocco,daah
Super sub[emoji123]Kyomboooooo Goooooal
Apewe muda huyu kijanaKyoomboooo
Ooh okHuyu bado, nahisi alikuwa injury
Apewe nafasiiApewe muda huyu kijana
Awepo hata sub tu.Akipangwa hiyo mechi lazima tufungwe tu. Kwa kasi ya mpira wa yanga yule hafai hata kidogo.