FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Kibu kama vile hajui kulink na wenzake.

Anacheza game tofauti kabisa na wengine uwanjani
 
Daaah Bocco anabahati mbaya sana

Aende kijijini kwa wazee wakampike kwenye chungu afu mchuzi wake aunywe ili kutoa mikosi
 
Back
Top Bottom