FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Chama anatoa pasi tamuu hadi ninja kaona acha afunge tu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mzamiru kacheza vizuri sana, ila kibu na boko aise hakuna umuhimu hapo
Siku hazifanani ndugu, leo huyu anacheza vzr sana, kesho yule naye man of the match cha msingi matokeo yanaonekana
 
Mshahara aliokuwa anachukia Dejan nashauri aongezewe Moses Scars Phiri
 
Mbona ni Kama Utopolo Wanalia lia oooh mara Offside ooo GOLI La Mchongo...!
Nini Kinatokea huko tuelezeni..!
 
Back
Top Bottom