FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Naona kuna 'Simba' wenzangu wamenuna kwa Ramli zao kwenda kombo
 
Zoran hakufurahishwa na kiwango cha huyu jamaa na ndio maana hata kwenye Derby hakuwekwa hata benchi

Sisi tulisema na tulilalamika hususani mimi ile siku ya mechi nilivyoona tu ile lineup nikakosa kabisa na feelings za kuicheki ile game

Ilikiwa sio mashabiki pekee nakumbuka mpaka wachambuzi na magwiji wa mpira wengi walishangazwa na kikosi kile

Lakini bado kuna wadau wanataka tuamini mawazo ya makocha kuwa wao ndio proffesional kuliko wengine kiasi tushindwe kutoa opinions zetu za kuwakosoa pale ambapo tunaona wanakosea

Ingekuwa ndio hivyo basi leo hii Zoran angeendelea kuhudumu kwenye Club kwa dhana ya kwamba yeye ndio mwenye jicho la kiufundi
 
Boco, mzamiru, mkude hawa ni mizaha wanatakiwa kuingia kipindi cha pili na sio kuanza. Huyu kocha nae jikenge tu.
Usikariri kwamba hao ni wabovu, kila mmoja ana umuhimu wake, Bocco katutoa Malawi, Mkude katutoa kule Sokoine, Mzamiru naye ana michango yake pia...siyo kila saa kuwalaumu tu
 
Usikariri kwamba hao ni wabovu, kila mmoja ana umuhimu wake, Bocco katutoa Malawi, Mkude katutoa kule Sokoine, Mzamiru naye ana michango yake pia...siyo kila saa kuwalaumu tu
Anaekariri kati yangu na wewe ni nani sasa? Kwahiyo kama boko alifunga huko malawi kocha aendelee kumchezesha tu hata kama anacheza hovyo sio?
 
Utashangaa goli linabaki hilo hilo la mchongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa

1664729764796.png
 
Usikariri kwamba hao ni wabovu, kila mmoja ana umuhimu wake, Bocco katutoa Malawi, Mkude katutoa kule Sokoine, Mzamiru naye ana michango yake pia...siyo kila saa kuwalaumu tu
Mzamiru kacheza vizuri sana, ila kibu na boko aise hakuna umuhimu hapo
 
YANI HUYU PHIRI NI HAALAND MTUPU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom