FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Boco, mzamiru, mkude hawa ni mizaha wanatakiwa kuingia kipindi cha pili na sio kuanza. Huyu kocha nae jikenge tu.
 
Hasaan mwatelema shuti lake linaenda nje la nho alikuwa katika nafasi nzuri ya kufunga
 
Naweza nisiwe na Imani au niwe nayo lakini huwa sina hulka ya kusema fulani hafai au anafaa kwa sababu Mimi siyo kocha ambae niko nao mazoezini
Mkuu unaimani sana na Bocco kwasababu ya lile goli la kule Malawi
 
Naweza nisiwe na Imani au nowe nayo lakini huwa sina hulka ya kusema fulani hafai au anafaa kwa sababu Mimi siyo kocha ambae niko nao mazoezini
Na sio mara zote makocha wanakuwa sahihi kwenye maamuzi yao na ndio maana hata wachambuzi wamekuwa wakitofautiana sana kimtazamo

Mpira sasa hivi ni statistic sio kitu cha kujificha kusema kocha tu ndio mwenye kujua mchezaji yupi anafaa
 
Kuna Wana Simba wamekalia lawama tu..sijui huu mpira wanautazama kwenye Runinga za chogo
Lazima watu waseme yale wanayoyaona hayako sawa

Hata kile kipindi ambacho Enonga alikiwa akifanya show off uwanjani watu tulisema vilile vile

Chama naye alikosa bao la wazi kwa ishu hiyo hiyo ya kutaka kutafuta headline ya kwenye magezeti ya kesho kwa kupiga piga vichenga visivyo na maana, hapa pia watu tulisema
 
Kuna Wana Simba wamekalia lawama tu..sijui huu mpira wanautazama kwenye Runinga za chogo
Kwahiyo mkuu huu ni mpira wa kueleweka unavyouona?
Hamna mpira hapa mi naona pasi zisizo na faida tu.
 
Back
Top Bottom