FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Huu ushindi unanipa ishara mbaya sana kwa timu yangu pendwa ya Simba, maana hao huwa wanatembea pamoja Man U akipigwa basi ujue na Simba kapigwa ili litimie lile jina lililobuniwa na wapuuzi flani eti MAN-SIMBA
 
Hizi sub za pep hazikuwa poa. Alitakiwa atoke Grealish peke yake, wangekula saba hawa kwa moja
 
weka kikosi.Phiri anagoli mbili leo kama atakuepo.
Kikosi cha Simba SC dhidi ya Dodoma Jiji
20221002_180249~2.jpg
 
Hivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?

Mashabiki wasipo enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?

Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababu Hawakuwepo Zanzibar

Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa

Simba Viongozi na Benchi la Ufundi wanatupiga Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
 
Mashabiki wasipp enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?

Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababi Hawakuwepo Zanzibar

Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]

Simba Viongozi na Benchi la Ufundis wanatupia Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
Ukijibiwa ni tag
 
Okwa anacheza nini na nyie mashabiki mnapenda tu lawama sasa ukisema ambae hakucheza Zanzibar asicheze kwahiyo unamaanisha Chama na Phiri wale ubao sasa ili wacheze hao wakina Okwa na Kibu kisa wana Fitness??
Tuna mechi muhimu ya kimataifa ndio maana umeona mostly ya wachezaji ambao hawakuwepo zanzibar (Chama,Phiri,Inonga) wameanzishwa ili kupata match fitness kuelekea mechi ya Angola kumbuka hakuna mchezo mwengine mbali na huu tunaocheza leo kabla ya kuwakabili De Agosto
 
Katika wachezaji wakupigwa chini dirisha dogo ni pamoja na OKWA, NA AKPAN! Mashabiki tunapenda kulaumu na vitu visivyo na maana
 
Hivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?

Mashabiki wasipo enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?

Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababu Hawakuwepo Zanzibar

Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa

Simba Viongozi na Benchi la Ufundi wanatupiga Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
Mkuu relax kwanza. Inawezekana kwenye hizo pre match na hizo za kirafiki Hawa wachezaji unaowaona nyota wameshindwa ku prove themselves. Dhumuni la hizi pre matches ni kumpa mwalimu nafasi kuwaona wachezaji wake, inawezekana Hawa uliowataja hawana Cha ziada walichomuonesha mwalimu. Tumuamini mwalimu, kuwa na amani. Kumbuka hata mwalimu aliyetoka alikuwa anawaanza bench baadhi ya Hawa na tukawa tunalalamika! Inawezekana kabisa Hawa ni samaki wa mapambo kwenye aquarium!!!
 
Kikosi cha Dodoma Jiji kinachoanza dhidi ya Simba SC
Screenshot_20221002-183427~3.jpg
 
Back
Top Bottom