FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

IMG-20221002-WA0067.jpg
 
Kukosekana kwa Panya magwaya kuna waghalimu sana Man Utd
 
Manchester United imepata kipigo cha Goli 6-3 kutoka kwa wapinzani wao wa Jiji moja, Manchester City katika mchezo wa Premier League.

Magoli ya City yamefungwa na Phil Foden (8, 44, 72) na Erling Haaland (34, 37, 64) huku wafungaji wa United wakiwa ni Antony (56) na Anthony Martial (84, 90).

Kwa matokeo hayo, #ManCity imefikisha pointi 20 ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Premier League nyuma ya Arsenal yenye pointi 21. #ManUtd imebaki na pointi 12.
 
Huu sasa ni ukorofi, tumewasusia limpira lenu vibanda umiza mmeamua mtufate na huku?
 
Back
Top Bottom