FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Mabadiliko..Inonga anabadilishwa na Kennedy Juma
 
Hivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?

Mashabiki wasipo enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?

Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababu Hawakuwepo Zanzibar

Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa

Simba Viongozi na Benchi la Ufundi wanatupiga Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
Simba mwenzangu ila unalawama sana..
 
Makolo yana sura za huruma naona yameshajiandaa kisaikolojia
 
Hivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?

Mashabiki wasipo enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?

Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababu Hawakuwepo Zanzibar

Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa

Simba Viongozi na Benchi la Ufundi wanatupiga Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
Eti Bocco kaanza kikosi cha kwanza

Huyu hata kwenye picha za Gym za hivi karibuni zinazopostiwa na Club sijawahi kumuona
 
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Mkapa

Simba SC 0-0 Dodoma Jiji
 
05' Goooooooooooooaaal gooal

Abdallah Shaibu anajifunga baada ya kupiga kichwa cha nyuma | Simba SC 1-0 Dodoma Jiji
 
Back
Top Bottom