FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Hawa Dodoma Jiji wakipata mpira karibu na lango la Simba huwa wanajituma sana
 
Leo tunaenda kimya kimya sauti ya mtangazaji hakuna
 
Phiri Goooooooooooooaaal gooal

Moses Phiri anahesabu bao la pili akipiga shuti kali la chini chini na kumuacha golikipa Aron akiruka bila mafaniko

Simba SC 2-0 Dodoma Jiji FC
 
Back
Top Bottom