Kwa sasa, mwenendo wa timu chini ya Pep mnene ni mzuri sana. Mechi zote za ndani na kimataifa ushindi with cleansheet
Juzi tu alipokuwapo mzungu mlikuwa mnamtukana MatolaMuda sio mrefu utashangaa wanatuletea mzungu kutoka Serbia, hivi haiwezekani timu ikashikwa na hii combination 1. Mgunda,2. Matola,3. Mgosi
Wasiojua mpira ndio wenye matusiJuzi tu alipokuwapo mzungu mlikuwa mnamtukana Matola
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna Halaand na Mayele tu zama hizi.
Yalifanyika mabadiliko ya Henock na kumuweka Kennedy muda mchache kabla ya kuanza kwa mchezo.Hivi Huyo HENOCK aliyepo kwenye Kikosi Ni Yupi? Mbona Jana sijamuona?
Umesahau juzi tu hapa ilikua Matola aondokeMuda sio mrefu utashangaa wanatuletea mzungu kutoka Serbia, hivi haiwezekani timu ikashikwa na hii combination 1. Mgunda,2. Matola,3. Mgosi
Hongera sanaSimba 3-0 Dodoma
Okrah goli la kwanza
Nabadili ubao Okrah hayupo,mfungaji ni Phiri
Ila mlijitahidi mbona? Tatu sio ndogo. Ila ukishabikia timu za Ulaya unaweza ufe aisee mimi ni Liverpool sema nashabikia siku wakishinda tuu.Siku imeharibika mapema let me wait kwa ndugu zangu wa nyumbani Lunyasi
Yaani sisi wa kula nne first half [emoji848]