UwiiiiiWangemuachia mgunda timu. Ila huyu mzungu ni hasara.
Kwani Kibu ni mchezaji wa wapi?Huyu kocha vipi
Unamtoa chams unamuweka Kibu?
viongozi ndio tatzo, sema hapa tutalaumiana sisi, makocha, wachezaji lakini mzizi wa matatzo ni viongozi huko juu....lakini leo tutashinda hii match, tusubriUlitaka mgunda aanyeje?. Mgunda alikiwa anaenda vizuri ghafla wakamleta huyu kocha wa mchongo. Ngoja wafungwe leo. Hawa wazungu hawana msaada tuachane nao.
Ni shidaa sana aisee...Hivi Makocha huwa wanapata muda wa kuangalia mechi za nyuma? Hili kosa lilifanywa na Zolan Maki Simba ilipocheza na Yanga. Linarudiwa tena na huyu Mbrazil
Simba anashinda mechi lkn ubingwa nahis yanga atachukua....huyu kocha ni mzuri kimataifa lkn huku yeye alisema hataki NBC premier league
Huyu kocha akifanya vibaya binafsi nita confirm pale kuna uchawi na hujuma. Tumepata kocha aliyefanikiwa kila alipofundisha! Kwanini afeli Simba? Tuache ushabiki tuamini benchi la ufundi la wachezaji. Game haijaisha hii
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kawaida kwa timu ya mpira wakati mungine. Leo arsenal wanaombea odegadi asiumie tu. Hata kule utopoloni wanakesha na kufunga mayele asiumwe hata malariaKumbe tunamtegemea Chama kama kamungu ketu kadogo, kama akiumia itakuaje?
Huyo Mgunda mngemponda tu! Sisi mashabiki ndio tatizo. Tuache timu icheze kwa mipango yake tuwalaumu after game. Inawezekana Chama hayuko kwenye form wamuache kwa kuogopa mashabiki?Ulitaka mgunda aanyeje?. Mgunda alikiwa anaenda vizuri ghafla wakamleta huyu kocha wa mchongo. Ngoja wafungwe leo. Hawa wazungu hawana msaada tuachane nao.
Niliandika humu nikatukanwaWangemuachia mgunda timu. Ila huyu mzungu ni hasara.
Nafikiri hii sub itatupa majibu kuwa timu inahitaji kujifunza kucheza bila chama.Kumbe tunamtegemea Chama kama kamungu ketu kadogo, kama akiumia itakuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] mnamjua Robertinho au mnamsikia?Ushindwwee