FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Hivi Makocha huwa wanapata muda wa kuangalia mechi za nyuma? Hili kosa lilifanywa na Zolan Maki Simba ilipocheza na Yanga. Linarudiwa tena na huyu Mbrazil. Mechi ya mwisho ya Simba aliyoshinda 7 ilifaa kuwa mfano mzuri wa best combination ya Simba. Ila daah, hawa makocha sjui wana ukilaza flani vile kichwani!?
 
Kwa ujumla team zima ipo slow..
Labda uchovuy...team haijachangamka ..
Ni mapema kujua mbinu za kocha
 
Ulitaka mgunda aanyeje?. Mgunda alikiwa anaenda vizuri ghafla wakamleta huyu kocha wa mchongo. Ngoja wafungwe leo. Hawa wazungu hawana msaada tuachane nao.
viongozi ndio tatzo, sema hapa tutalaumiana sisi, makocha, wachezaji lakini mzizi wa matatzo ni viongozi huko juu....lakini leo tutashinda hii match, tusubri
 
Kumbe tunamtegemea Chama kama kamungu ketu kadogo, kama akiumia itakuaje?
Kawaida kwa timu ya mpira wakati mungine. Leo arsenal wanaombea odegadi asiumie tu. Hata kule utopoloni wanakesha na kufunga mayele asiumwe hata malaria
 
Ulitaka mgunda aanyeje?. Mgunda alikiwa anaenda vizuri ghafla wakamleta huyu kocha wa mchongo. Ngoja wafungwe leo. Hawa wazungu hawana msaada tuachane nao.
Huyo Mgunda mngemponda tu! Sisi mashabiki ndio tatizo. Tuache timu icheze kwa mipango yake tuwalaumu after game. Inawezekana Chama hayuko kwenye form wamuache kwa kuogopa mashabiki?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom