Mkuu haya mambo ukiyakomalia sana utaugua ulcers. Kila mechi ina furaha na huzuni yake, halafu ligi ikiisha ndio mahesabu yanapigwa. Au ulitaka waishie kushinda 2-1 ?Mpo nafasi ya ngapi katika ligi baada ya ushindi mnono wa kununua wa leo?
Unacomment huku unataka kulia UtopoloIla gape halipungui sijui kwa nini
Kwa hiyo Nabi mlimsifu mlipopewa kipigo na Al hilal?
Yanga ndio timu inayoongoza kutoa watu wa hovyo kuanzia mashabiki, wachezaji na mpaka kwa viongoziAlipoachwa mliwahi kuifunga hiyo Yanga?? Upinde bhana sijui mnachanganyikiwa na nini.
Nijibu kwanza mpo nafas ya ngapi baada ya ushindi wa leo?Mkuu haya mambo ukiyakomalia sana utaugua ulcers. Kila mechi ina furaha na huzuni yake, halafu ligi ikiisha ndio mahesabu yanapigwa. Au ulitaka waishie kushinda 2-1 ?
Naomba nimjibie; Nafasi ya 2, nafasi ya 1 wapo Mabingwa watetezi Yanga. 🙄Nijibu kwanza mpo nafas ya ngapi baada ya ushindi wa leo?
Mpira ni burudani. Magoli ni burudani. Mashabiki wa simba wamepata burudani. Kwamba wangeacha kufunga sababu hakutakuwa na kufungana point?Trust me goal nyingi hazitowasaidia msimu huu hakuna kufungana point
Burudani ya muda ina faida gani kwenu! Maana mwisho wa siku bingwa anajulikana.Mpira ni burudani. Magoli ni burudani. Mashabiki wa simba wamepata burudani. Kwamba wangeacha kufunga sababu hakutakuwa na kufungana point?
Burudani zaidi ni kuwa on topMpira ni burudani. Magoli ni burudani. Mashabiki wa simba wamepata burudani. Kwamba wangeacha kufunga sababu hakutakuwa na kufungana point?
Bao mbili alafu wapo juu ya mezaUtopolo haoooo wazee wa bao 2
Tukuletee tissue ufute machozi?Wametembeza bahasha hii mechi kwa refa alafu sharti wakampa refa kuwa atoe kadi nyekundu ili washinde goli nyingi tusione palipovuja[emoji1787][emoji1787]