FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Alipoachwa mliwahi kuifunga hiyo Yanga?? Upinde bhana sijui mnachanganyikiwa na nini.
Yanga ndio timu inayoongoza kutoa watu wa hovyo kuanzia mashabiki, wachezaji na mpaka kwa viongozi

Swala la upinde limekujaje hapa?

Huwa najitahidi sana kuepuka mijadala ya matusi kwa kutumia lugha ya staha nikifikiria kwamba mtu anayenitukana lazima awe amekasirishwa na matusi niliyomuandikia.

Lakini hiyo imekuwa ni tofauti kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga ukiwemo wewe.
 
Mkuu haya mambo ukiyakomalia sana utaugua ulcers. Kila mechi ina furaha na huzuni yake, halafu ligi ikiisha ndio mahesabu yanapigwa. Au ulitaka waishie kushinda 2-1 ?
Nijibu kwanza mpo nafas ya ngapi baada ya ushindi wa leo?
 
Back
Top Bottom