FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Mbegu ni moja tu ya Points tatu,angalia msimamo kama magoli mengi yamekupa points 5
Ila yanaumizaaa yani unachukua ubingwa halafu unazidiwa magoli na timu ya chini yako bado hako ka ubingwa kanakua kana kera kera kidogo yess japo ni ubingwa....ni kama ka ubingwa ka kubahatisha...heloo mtani Chukwu emeka
 
Naombea kesho mtibwa ashinde ili point zibaki 3 pale.
 
Wanafosi maupinde yao yaliyojaa kwny timu yao iwe ndo Simba...mauchafu chafu yao wanataka kuyahamishia kwa wekundu hahaha maupinde ni wao wanajulikana
Kuna ule uzi uliokuwa unazungumzia video chafu ya mashabiki wa Yanga iliyo leak, sikutaka kabisa kujihusisha hata na ule mjadala kwasababu nafahamu inavyoboa kuhusishwa kwenye matukio machafu ambayo tena hujahusika
 
Hongera mkuu huwa una staha sana hupendi majibizano ya matusi...kwa mtu anaekujua najua hawezi kucoment kwny post yako kwa matusi ilihali unafahamika kwa hilo...hao ndo utopoloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…