Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hiyo ndiyo mkombozi wenu inabidi muiheshimu sana Ihefu na muipambanie isishuke darajaView attachment 2463692
Unaona timu iliyowatoa kamasi??? Ipo mkiani
Ndo ubingwa huoTimu ambayo imefungwa magoli machache na kufunga magoli mengi kuliko timu yeyote
Mnapenda kupaka rangi upepo 🤣Timu ambayo imefungwa magoli machache na kufunga magoli mengi kuliko timu yeyote
Kuongoza ligi ni tempo joy, wakati kuchukua ubingwa ni permanent joyEti sio ishu hahahahaha leo hii imekuwa sio ishu kuongoza ligi kipindi kile mlivyokuwa mnaongoza ligi kwa masaa 24 ilikuwa ishu sio?
Kwahiyo unakuwa bingwa bila kuongoza ligi 🤣?Kuongoza ligi ni tempo joy, wakati kuchukua ubingwa ni permanent joy
Kwani uongo ofsa?Mnapenda kupaka rangi upepo 🤣
Wewe unaonyesha dalili ya kushindwa utani ulishawahi muona mkuu Scars OKW BOBAN SUNZU wanatoa lugha za hovyo kama zako hapa?Anawaza kizwazwa sana, hebu sema kike kike hapa ligi imefika Kokomo?
Jibu kidem demu sasa nione 😁😁
Ubingwa ni tukio la mwisho, mechi hazijaisha hiyo nafasi inaweza kumilikiwa na mtu mwingine na ukakosa authenticity ya kauli yakoKwahiyo unakuwa bingwa bila kuongoza ligi 🤣?
Leo nimeinjoi sana Straiker wetu mzawa mnaye mbebesha(ga) gunia la misumari timu ikikosa matokeo Adebayor mnashangilia......hii inaprove mnavyokula matapishi yenuKwani uongo ofsa?
We leo umefurahia magoli ya Bocco au Saidoo?
Hahahahaha sizitaki mbichi hiziKuongoza ligi ni tempo joy, wakati kuchukua ubingwa ni permanent joy
Kesho utakabidhiwa kombe la ubingwa hahahaaaWewe unaonyesha dalili ya kushindwa utani ulishawahi muona mkuu Scars OKW BOBAN SUNZU wanatoa lugha za hovyo kama zako hapa?
Sasa unapoints zetu 3,mtapasuana na ndugu yako mtoto wa Dada Azam...... unadhani tutakuwa tunawasubilia Ferry?Ubingwa ni tukio la mwisho, mechi hazijaisha hiyo nafasi inaweza kumilikiwa na mtu mwingine na ukakosa authenticity ya kauli yako
Yap nalichukua hili kama jibu la kweli linalowakilisha mashabiki wengi wa Yanga kwasababu isingeweza kutokea mshabiki wa Yanga akafurahishwa na alichokifanya Saido wakati kila mmoja hakuwahi kufurahia kumuona akisajiliwa simbaLeo nimeinjoi sana Straiker wetu mzawa mnaye mbebesha(ga) gunia la misumari timu ikikosa matokeo Adebayor mnashangilia......hii inaprove mnavyokula matapishi yenu
Points zenu 3?Sasa unapoints zetu 3,mtapasuana na ndugu yako mtoto wa Dada Azam...... unadhani tutakuwa tunawasubilia Ferry?
Saido hakuna mshabiki wa Yanga aliyefurahishwa kuondoka,ni yy na bifu na Kocha.....sijamzungumzia Saido kwasababu daraja lake linajulikana.........siyo rahisi mtu kutoka East Africa kucheza Ligue one.......Saido anakitu na atawasaidia sana tu.Yap nalichukua hili kama jibu la kweli linalowakilisha mashabiki wengi wa Yanga kwasababu isingeweza kutokea mshabiki wa Yanga akafurahishwa na alichokifanya Saido wakati kila mmoja hakuwahi kufurahia kumuona akisajiliwa simba
Yanga hua wanaongoza round kwa kwanza" hii kauli mbiu imepotea kabisaKuongoza ligi sio ishu maana hata Mtibwa aliongoza
🤣🤣Sijui maana mi mgeni hapa nchiniPoints zenu 3?
Unautani wewe hivi unajua balaa la Saidoo wewe? kuna wenzako kule jukwaani walikuwa wanasonya tu
Achana na hilo kuna kiumbe kinashuka dirisha dogo, huyo kiumbe ana balaa unaambiwa anafunga hata kwa mashuti ya off target
Siwaoni mkitoka
Nakuambieni sio tu ndoo, hata kiatu kinaenda msimbazi yule Rasta mfanyieni mpango mumtafutie ng'ombe yakeHahahahaha sizitaki mbichi hizi
Na ile kukata pumzi second half iliisha yenyewe 🤣Yanga hua wanaongoza round kwa kwanza" hii kauli mbiu imepotea kabisa