FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

22' Simba SC 1-0 Tanzania Prisons
 
Henock yupo chini kwa mara nyingine akipatiwa matibabu baada kuchezewa faulo na Mbangula
 
TZ Prison wamekauka katikati. Ya. Hawana midfield ya kueleweka kusukuma mipira mbele
 
Enonga anafanyiwa mabadiliko baada ya kuchezewa faulo na mchezaji wa Prison
 
Kadi Nyekundu kwa Samson Mbangula
 
Hamsa hamsa hamsaa.. Tupe raha mnyamaa
 
Hawa jamaa leo wanacheza kihuni sana, wapigwe umeme tu hakuna mchezo wa hivyo.
 
Kennedy Juma kaingia kuchukua nafasi ya Enonga
 
Kennedy ameingia kuchukua nafasi ya Henock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…