F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Kama sikosei mwaka juzi alikula kadi nyekundu na haohao SimbaKadi Nyekundu kwa Samson Mbangula
Wachezaji wa Simba Hawana Fitness Hatukupata Kocha Wa Viungo?
Hatuna huo muda.Yanga wanavyotuangalia wakiwa mafichoni [emoji4][emoji4]
Wanastahili red card hao. Refa kampa haki yake.Kama sikosei mwaka juzi alikula kadi nyekundu na haohao Simba
Alitangazwa ila haonekani, sijui anaishia gym?Wachezaji wa Simba Hawana Fitness Hatukupata Kocha Wa Viungo?
Bado na penati unataka. Aisee.Ile ilikiwa penati ya wazi sema sio swala bado tunao uwezo wa kushinda hii mechi bila penati
S I M B A
Jamaa alitangazwa lkn uwanjani wala mazoezini haonekani