FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Simba watulie hawa Prison wanachowaza ni kukamia tu, naziona goli nyingine mbili safi kabisa.
 
39' Looooooo, Sakho anapiga shutii kali linagonga mwamba, na Chama kurudisha tena lakini golikipa anacheza
 
Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki Ndaki Ila Mgunda Hata Tushinde Mechi zote sio Kocha wa Viwango ya Simba, Timu ni Kubwa kuliko uwezo wake.

Leo Mchezo una jidhihirisha. Hawa Prisons ni Kama Hawako Pungufu yaani Gape la Mtu aliyetolewa kwa Card nyekundu halionekani, na Mgunda Amebaki na Mbinu zile Zile….

Makundi Tutatoboa Kweli? Mo alikuwa sahihi kutuuliza Kama Tunataka Kocha
 
Hivi swala la kocha ni la kuomba maoni ya mashabiki Twitter kweli?
 
Unatazama mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…