FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki Ndaki Ila Mgunda Hata Tushinde Mechi zote sio Kocha wa Viwango ya Simba, Timu ni Kubwa kuliko uwezo wake.

Leo Mchezo una jidhihirisha. Hawa Prisons ni Kama Hawako Pungufu yaani Gape la Mtu aliyetolewa kwa Card nyekundu halionekani, na Mgunda Amebaki na Mbinu zile Zile….

Makundi Tutatoboa Kweli? Mo alikuwa sahihi kutuuliza Kama Tunataka Kocha
Si anakuja kocha aliyekuwa Vipers
 
#GuyuMoya hii mechi mnyama tunashinda ..
 
Simba kazeni acheni kulalama kumbukeni hata nyie mlifunga goli la mchongo Mbeya Sokoine. Kazeni puru izo Yatima Hadeki
 
Naaam kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Mkapa
 
46' [emoji460] Bocco Goooooooooooooaaal gooal

John Bocco anaweka kambani bao la pili akipokea pasi murua kutoka kwa SAKHO
 
Back
Top Bottom