FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

Wachezaji Wa Kuwatoa kwa mkopo Wapo wengi humu.

Kisinda Hamna Kitu mule.....Bureee kbs.
 
Kipindi cha pili ndio maigizo yataanza rasmi,utopolo 2-0 prison,ameshakukua pesa ya watu tangia juzi ni lazima walipe fadhila [emoji276]
 
Acha mambo ya ukabila ndugu...
Wewe ni mshabiki wa juzi ....unajua historia ya mpira wa Mbeya.
 
Bila bahasha hakuna timu hapo.
 
Haya baada ya show ya mbappe tumehamia huku kwenye papatu papatu bora liende..Kheee kumbe bado bila kwa bila.
 
Kamati ya Pira lawama mnakionaje kiwango cha Kisinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…