kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Refarii kama Vile anawatafutia Jambo Uto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada imedodaLeo siwaoni kabisaa humu Utopwinyo
Jitu zima hovyoMada imedoda
Ukabila unatoka wapi sasa! Kusema timu vibonde kutoka Mbeya, ndiyo ukabila! Kuwa serious hata kidogo tu.Acha mambo ya ukabila ndugu...
Wewe ni mshabiki wa juzi ....unajua historia ya mpira wa Mbeya.
Achana nae kolo huyoUkabila unatoka wapi sasa! Kusema timu vibonde kutoka Mbeya, ndiyo ukabila! Kuwa serious hata kidogo tu.
Au unataka kusema Ihefu na Prisons hazitoki Mbeya!! Halafu unaposema mimi ni mshabiki wa juzi unamaanisha nini?
Labda wapo uzi wa 'world cup '..😃😃Leo siwaoni kabisaa humu Utopwinyo
Kumbe we mpiga debe wa SingidaNaandaa shereheView attachment 2435912
Kama una ushahidi wa hizo bahasha, weka hapa jukwaani tuone.Bila bahasha hakuna timu hapo.