FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

Acha mambo ya ukabila ndugu...
Wewe ni mshabiki wa juzi ....unajua historia ya mpira wa Mbeya.
Ukabila unatoka wapi sasa! Kusema timu vibonde kutoka Mbeya, ndiyo ukabila! Kuwa serious hata kidogo tu.

Au unataka kusema Ihefu na Prisons hazitoki Mbeya!! Halafu unaposema mimi ni mshabiki wa juzi unamaanisha nini?
 
Muda wa maelekezo sasa ushafika sasa hivi prison wanaachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…