FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

Djuma anateswa na mentality ya kitambi
 
Refarii kama Vile anawatafutia Jambo Uto,
Faulo za Prison hazioni.
 
Uyu refarii atakuwa kapewa ela na yanga anawabeba sana yanga wazi wazi tunaona wachazaji wa tz prisons wanachezewa rafu lakini hakuna kadi inayotolewa
 
Morrison anaingia wakati Clement akitoka

Mashabiki wa uto wamepiga yowe ngoja mechi iishe tutawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…