FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

Hii game Yanga washindwe wenyewe! Prison wangeingiza viungo wakabaji na beki mmoja wa kati wacheze 6:3:1 wakiwa bila mpira, 5:3:2 wakiwa na mpira wanacheza counter kwa muda uliobaki. Wasipo change naona watachoka na kuruhusu goli kizembe!
 
Mpunga huwa unatembea hadi kwa kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…