FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

Mweee mweee.. Almanusura geita wapate bao, mpira unagonga Mlingoti.
 
Ila shomari kapombe sjui ndo ameshaanza kuchoka au vipi maana anakata tamaa haraka Sana.
 
67' Ametoka Kanoute na ameingia Akpan upande wa Simba SC
 
Msimamo wa ligi ukoje? Malizeni haraka kuna mtu mmoja, anasubiriwa na ulimwengu wote naye ni Messi tu.
 
Chamaaa, Bocoo.... Wanakosa bao hapa, ilikuwa hatari langoni kwa Geita
 
73' Nashon anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa kumchezea madhambi Sakho

Geita Gold 0-3 Simba SC
 
Back
Top Bottom