FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

Ametoka Bocco, Sakho, Henock na wameingia Nyoni, Ouattara, Kibu
 
89' Kibuuuuu Goooooooooooooaaal gooal

Kibu Denis anaweka kambani bao la Tano akipokea pasi murua kutoka kwa Chama.

Geita gold 0-5 Simba SC
 
Chama ni shida sana yaani [emoji16][emoji881][emoji16]
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom