ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Bahasha imehusika hapo [emoji23][emoji23]Mpira bila Madawa unawezekana, Aibu gani hii[emoji26] Singida chalii Mbeya chalii [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahasha imehusika hapo [emoji23][emoji23]Mpira bila Madawa unawezekana, Aibu gani hii[emoji26] Singida chalii Mbeya chalii [emoji1787][emoji1787]
Namezaaaa😆😂 Unabugia
😂 Haya hivi gemu inayofuata mnacheza na nani?Namezaaaa😆
Naona unachekaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi ni nani hadi nipinge eti. Teh teh.Asante Mbeya City mnawalaza watu na viatu. Green City💚 ni ... 🔥🔥🔥🔥🔥
Haijawahi tokea assist bila goliChama mna mu underate kisa tumetoka drooo?.hamjaona assist alizokua anatoa japo hazikuzaa magoli?...
Mbona mbaya wenu Matola keshaaga?Hadi tuwe wa mwisho kwenye ligi ndo uongozi utatambua kuwa kuna wachezaji, makocha hawatakiwi kuwa nasi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mtani pole sana ila usivurugwe sana hakuna kitu kinaitwa assist bila goli.Chama mna mu underate kisa tumetoka drooo?.hamjaona assist alizokua anatoa japo hazikuzaa magoli?...
Mkuu mbona umemweka wa stendi hapo Kwa picha?Kula maunga View attachment 2425259
Hahahhaha basi chengaMtani pole sana ila usivurugwe sana hakuna kitu kinaitwa asist bila goli.
Kumbe nyie pia mnapokea bahasha kijanja janja [emoji23][emoji23][emoji23]Endeleeni kujadili mjimwaye mwayeee
Yaani Sakho toka kutwa kiatu mpaka mchezaji wa sub dakika ya 90?Nakuunga mkono hoja .......
Tuna baadhi ya wachezaji ni wa kawaida or quality Yao imepungua Sana na inatosha Kwa sasa waruhusiwe Tu.
Wewe Dada Mungu anakuonaNgada hiyo