FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Hiyo transition period mliifanya kwa muda gani? kwasababu ubovu wa yanga haujaanza leo, data zipo niambie ni mwaka jana tu au miaka minne yote iliyopita mnafanyaga tu transition?

Mshamaliza transition au bado mnaendelea? maana huko mbeleni msije na excuse kua mlikua bado kwenye process
 
Kolo aliliwa 1~NGAO YA JAMII
KAGERA 1
GEITA 1
Hapo timu bado haina chmistry ina BIOLOGY na GEOGRAPHY tu.Kuna mtu atapigwa NANE mwaka huu.subirin muone
 
Daah mkuu Nyamizi hawa Arsenal nitakuja kufa siku moja
 
They deserve more since when? Timu lako bovu miaka minne wewe usiongee ushubwada
Kwahyo kama mbovu miaka minne ndo inakuwa hivyo milele. Kwamba maisha yamegoma au? Yako isiyokuwa mbovu imeshinda mechi ngapi msimu tangu ulivyoanza?

Are you talking with your other hollow point, brother?
 
Mzee, there is always a starting point. Tofali haliwekwi hewani bali chini. And why is it hurtful to you tukiamini hivyo?
 
Nijiulize ya nini mzee? Kwani mimi sijatazama? Au sababu wao wanalamika basi na mimi niunge tela?

Jiulize watu wameshinda na bado wanalamika, why? Because they believe they played better so they deserved more. Mbona simple.

Utopolo hii hii inayokata pumzi dk ya 50 ndiyo wanadeserve better,una uhakika [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kolo aliliwa 1~NGAO YA JAMII
KAGERA 1
GEITA 1
Hapo timu bado haina chmistry ina BIOLOGY na GEOGRAPHY tu.Kuna mtu atapigwa NANE mwaka huu.subirin muone

Kama
mnashindwa kuwafunga Geita goli hata mbili,kuna team gani tena mtakayoweza ifunga zaidi ya goal moja?
 
Ungesema Sasa "Young Africans, forward forever in our butts there is a wooden spoon"
Kuna tofauti kubwa kati ya "MWIKO" unaotumika katika "UPISHI" na "MWIKO" kama "TABOO".

MWIKO unaotumika katika kauli mbiu ya Klabu ya Young Africans ni "TABOO" wala si "MWIKO" unaotumika katika "UPISHI".

Na ndiyo maana tuna maneno kama "MBUZI", "PAA", "UA" yaani, "Neno lenye tafsiri zaidi ya moja" au "MANENO TATA"

Unaweza kueleweka tu pasipo kutaja matusi au neno "BUTTS".

Platform hii inasomeka pande zote za dunia,

Neno moja tu linaweza kukuharibia wasifu wako maishani na akatafutwa mchawi na asipatikane.
 
Baada ya mechi kumalizika nikakukumbuka,walau sasa mmerudi nafasi ya 9, next mechi mtajivuta zaidi kusogea kwenye top 5
Sina Imani na Arsenal kabisa, na hii team ndo inanifanya niione timu Yangu ya Yanga ni bora kabisa
 
Kwa kikosi kile na namna ambavyo mnacheza butua butua, ligi ichanganye miezi miwili tu hapo mtakua mshatimua makocha zaidi ya sita
Ndo mana nasema uwe unatazama mpira ndugu. Hiyo butuabutua ilikuwepo kwenye mechi yenu na Biashara na Dodoma Jiji. Sio kwetu.

Kalitazame hata goli lenu la Kagere utaona lilivyopatikana.

The way unavyoongea hapa ni kana kwamba you played better or outscored us kumbe hamna kitu!
 
Mzee, there is always a starting point. Tofali haliwekwi hewani bali chini. And why is it hurtful to you tukiamini hivyo?
Kwani timu kuwa na wachezaji wabovu sio kawaida kwenye mpira? Why uone aibu kukubali kua mna yanga mbovu?

Ukitumia transiting kuficha ubovu wa timu yako, utajikuta unashindwa kuisema lipuli kua ni mbovu maana naye atatumia upenyo wa transiting kuficha ubovu wake

Mna yanga mbovu hilo halipingiki, hakuna excuse yeyote yenye mantiki mnayoweza mkaitoa ika make sense

Kina kalinyo na sappng mliwabeba juu juu na mlikiri kua mmekamilika na nugaz akawaahidi kua msipo chukua ubingwa mumuulize, lakini baada ya kukosa meanza kujindefend kua ni transiting season. Ebu acheni janja janja sajilini wachezaji wazuri, mpira mguuni sio mdomoni na mkikaa vibaya hata nafasi ya upili mnaweza msiambulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…