FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

We jamaa bana. Hivi ni nani asiyejua kuwa timu ya Yanga ilikuwa katika 'transiting process' ambayo kila timu hupitia na muda? Hiko ulichokiweka hapo, ukitoa misimu mitatu nyuma, hali ilikuwa hivyo? Things are not static, two seasons wonder za CL ndo zimekufanya ukawa hapo, only two, so stop acting as if upo level za Al Ahly and co. ambao kwao quarter final is not something to cherish. Kocha akiishia hapo anafukuzwa kabisa.

Kwa Namungo amecheza recently michuano ya kimataifa na tunajua how corona worked on their side. Lucky charm. Form is temporary mzee. Let them did the same then uje kuongea hapa.
Hiyo transition period mliifanya kwa muda gani? kwasababu ubovu wa yanga haujaanza leo, data zipo niambie ni mwaka jana tu au miaka minne yote iliyopita mnafanyaga tu transition?

Mshamaliza transition au bado mnaendelea? maana huko mbeleni msije na excuse kua mlikua bado kwenye process
 
Kolo aliliwa 1~NGAO YA JAMII
KAGERA 1
GEITA 1
Hapo timu bado haina chmistry ina BIOLOGY na GEOGRAPHY tu.Kuna mtu atapigwa NANE mwaka huu.subirin muone
 
Mtani baada ya mechi sita,najua utaandika kwa kiswahili kilichonyooka ukiwa umechafukwa kwa hasira.Hii ya leo ndiyo Yanga sasa ya siku zote,ile mliyotufunga ilikuwa Yanga ya Ostaadhi, naona na upande wa Arsenal mnakwenda mdogo mdogo,ukiona taabu karibu kwetu Darajani ufurahie maisha ya Ubingwa wa CL[emoji3][emoji3][emoji3]
Daah mkuu Nyamizi hawa Arsenal nitakuja kufa siku moja
 
They deserve more since when? Timu lako bovu miaka minne wewe usiongee ushubwada
Kwahyo kama mbovu miaka minne ndo inakuwa hivyo milele. Kwamba maisha yamegoma au? Yako isiyokuwa mbovu imeshinda mechi ngapi msimu tangu ulivyoanza?

Are you talking with your other hollow point, brother?
 
Hiyo transition period mliifanya kwa muda gani? kwasababu ubovu wa yanga haujaanza leo, data zipo niambie ni mwaka jana tu au miaka minne yote iliyopita mnafanyaga tu transition?

Mshamaliza transition au bado mnaendelea? maana huko mbeleni msije na excuse kua mlikua bado kwenye process
Mzee, there is always a starting point. Tofali haliwekwi hewani bali chini. And why is it hurtful to you tukiamini hivyo?
 
ggg.jpg
 
Nijiulize ya nini mzee? Kwani mimi sijatazama? Au sababu wao wanalamika basi na mimi niunge tela?

Jiulize watu wameshinda na bado wanalamika, why? Because they believe they played better so they deserved more. Mbona simple.

Utopolo hii hii inayokata pumzi dk ya 50 ndiyo wanadeserve better,una uhakika [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kolo aliliwa 1~NGAO YA JAMII
KAGERA 1
GEITA 1
Hapo timu bado haina chmistry ina BIOLOGY na GEOGRAPHY tu.Kuna mtu atapigwa NANE mwaka huu.subirin muone

Kama
mnashindwa kuwafunga Geita goli hata mbili,kuna team gani tena mtakayoweza ifunga zaidi ya goal moja?
 
Ungesema Sasa "Young Africans, forward forever in our butts there is a wooden spoon"
Kuna tofauti kubwa kati ya "MWIKO" unaotumika katika "UPISHI" na "MWIKO" kama "TABOO".

MWIKO unaotumika katika kauli mbiu ya Klabu ya Young Africans ni "TABOO" wala si "MWIKO" unaotumika katika "UPISHI".

Na ndiyo maana tuna maneno kama "MBUZI", "PAA", "UA" yaani, "Neno lenye tafsiri zaidi ya moja" au "MANENO TATA"

Unaweza kueleweka tu pasipo kutaja matusi au neno "BUTTS".

Platform hii inasomeka pande zote za dunia,

Neno moja tu linaweza kukuharibia wasifu wako maishani na akatafutwa mchawi na asipatikane.
 
Baada ya mechi kumalizika nikakukumbuka,walau sasa mmerudi nafasi ya 9, next mechi mtajivuta zaidi kusogea kwenye top 5
Sina Imani na Arsenal kabisa, na hii team ndo inanifanya niione timu Yangu ya Yanga ni bora kabisa
 
Kwa kikosi kile na namna ambavyo mnacheza butua butua, ligi ichanganye miezi miwili tu hapo mtakua mshatimua makocha zaidi ya sita
Ndo mana nasema uwe unatazama mpira ndugu. Hiyo butuabutua ilikuwepo kwenye mechi yenu na Biashara na Dodoma Jiji. Sio kwetu.

Kalitazame hata goli lenu la Kagere utaona lilivyopatikana.

The way unavyoongea hapa ni kana kwamba you played better or outscored us kumbe hamna kitu!
 
Mzee, there is always a starting point. Tofali haliwekwi hewani bali chini. And why is it hurtful to you tukiamini hivyo?
Kwani timu kuwa na wachezaji wabovu sio kawaida kwenye mpira? Why uone aibu kukubali kua mna yanga mbovu?

Ukitumia transiting kuficha ubovu wa timu yako, utajikuta unashindwa kuisema lipuli kua ni mbovu maana naye atatumia upenyo wa transiting kuficha ubovu wake

Mna yanga mbovu hilo halipingiki, hakuna excuse yeyote yenye mantiki mnayoweza mkaitoa ika make sense

Kina kalinyo na sappng mliwabeba juu juu na mlikiri kua mmekamilika na nugaz akawaahidi kua msipo chukua ubingwa mumuulize, lakini baada ya kukosa meanza kujindefend kua ni transiting season. Ebu acheni janja janja sajilini wachezaji wazuri, mpira mguuni sio mdomoni na mkikaa vibaya hata nafasi ya upili mnaweza msiambulie
 
Back
Top Bottom