FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

Hawa Coastal ni wapuuzi tu yani nafasi ile ni ya kukosa kweli?
 
Hujaona jamaa aliye fyekwa ndani ya box, jamaa alikosa mpira kapiga miguu??
Hakuna contact hapo mzee. Ni kweli amecheza tackling akaukosa mpira pia hakumgusa mchezaji wa coastal na ndio maana mchezaji wa coastal ndio kamuomba msamaha kwa mchezo mbaya
 
Hivi inakuwaje tmu zote za hapa nchini zikicheza na Yanga zinakaa nyuma ya mpila ila zikicheza na Simba zinafunguka?? Ina maana huwa haziihofii Simba?
Popoma la Malalamiko/Mbumbumbu/Makelele/Kolowizards/Ngada FC limeshakujibu ujumbe uliofatia kuwa bahasha zinatembeaga
 
Hivi inakuwaje tmu zote za hapa nchini zikicheza na Yanga zinakaa nyuma ya mpila ila zikicheza na Simba zinafunguka?? Ina maana huwa haziihofii Simba?
Kwa sabab yanga yanacheza counter attack ila simba wanacheza total football (tik taka) sheeenz
 
Back
Top Bottom