FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

Kwani ukikubali refa kachemka kuna tatizo gani Tate?
Hebu tutolee makasiriko Yako hapo. Hilo tukio halina utata wowote hata wachambuzi hawakuliongolea hata coastal union wwnyew hakuna aliyelalamika.

Yaani umekomaa ili tu ionekane Yanga haijashinda Kwa haki, watu km nyie ndio mnaifanya Simba ionekane ni timu ya watu mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Penalty ya wazi sana ila ndo vile mwamuzi anabahasha asingeweza kuruhusu.

Kuna wakati aucho alicheza hovyo akaanguka halafu mpira upo kwenye move ya hatari ikabidi mwamuzi apige filimbi kuua move ili kuwaokoa.Ni kawaida tulishazoea

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom