FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

Ngapi ngapi huko?, huku kwangu february ameshafanya yake hakuna umeme
 
hapa nilipo tanesco wamesha fanya yao,ngapi ngapi huko?
TANESCO ni mbuzi kabisa. Hata mimi huku niliko wamekata, wakarudisha! Wakakata tena, wakarudisha!

Na muda huu wamekata kwa mara ya 5, na hata sijui kama watarudisha tena. Kwa umeme wa aina hii, serikali yao ina haki kabisa kununua treni ya umeme ya mwaka 47.

Maana wangenunua zile za kisasa, huenda watu wangekuja kujikuta wamekwama sehemu kutokana na umeme kukatika.
 
Nasikia 3 huko, ila kwa mchezo wa Coastal wanaweza kufungwa hata 8. Hizi pasi fupi sio mbele ya Yanga au Simba. Timu ndogo zijifunze kwa Ihefu zinapocheza na timu kubwa.
 
Huyu baraka mpenja sijui nayeye anachukua bahasha za gsm, siku hizi amekuwa anawasifia sana Hawa utopolo
 
Safari hii rekodi ya mabao ya Msimu uliopita inavunjwa mapema sana. Mfungaji bora atakuwa na 20+
 
Back
Top Bottom