FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga kikosi.jpg

Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo

Mchezo umeanza
5' Coastal wanaonekana kuwa makini
10' Kasi ya mchezo siyo kubwa
12' Matokeo bado ni 0-0
15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi
27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu
28' Fiston Mayele anaipatia Yanga goli la kwanza
FkbsSqsXkAIpPgN.jpg
45’ Kipindi cha kwanza kimekamilika, Yanga inaongoza 1-0

KIPINDI CHA PILI KINAANZA

46' Faulo nje la eneo la 18 la lango la Yanga
47' Yanga wanapiga kaunta ataki kupitia kwa Azizi Ki kisha Mayele akamalizia kazi.
60' Presha ya mchezo inaongezeka, wachezaji wa Coastal wanaonekana kuwa na hasira.
65' Yanga wanafanya shambulizi kali
66' Fei Toto anafunga kwa shuti kali ndani ya eneo la boksi
70' Kipa wa Coastal anafanya kazi ya ziada kupangua mashuti mawili ya Yanga.
80' Yanga wanaendelea kumiliki mpira
88' Coastal wanapata kona, wanafanya shambulizi lakini mpira unatoka nje
90' Zinaongezwa dakika 3
Mwamuzi anamaliza mchezo
 
Back
Top Bottom