FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Feisaaaal weeeee,nasemaaa rudi kambini, huku twadharirikaaaa. Sie ndio wa kupata ushindi wa tia maji tia majiπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜€
 
Yanga shukurini tunaowombea na kufunga. Jipangeni. Simba sasa wanawaloga kwenda mbele ni vile tu hawajafanikiwa ila ilitakiwa mechi ya juzi na Leo muwe point sare.

Ukipenda amini, usipopenda acha.
 
Mudathiri kaonesha uwezo, Lawenda Msonda na wenzie ni wabovu

Haya maswala ya kusema tuwape muda ni unafiki tu, mbona katika muda huo huo mchache Mudathiri kacheza vizuri, Baleke kafunga, Sawadogo kacheza vizuri (tena kwenye pitch mbovu)

Inakujae huyu mdau wa TBC asioneshe hata ile nafuu tu

Haya maswala ya kupeana muda tutajikuta tupo kwenye lawama kubwa kwa wachezaji kama Kisinda, Kambole kuwa hawakupewa muda wakutosha hivyo kuonekana kama wachezaji wasio na kiwango sio fair.
 
Yanga shukurini tunaowombea na kufunga. Jipangeni. Simba sasa wanawaloga kwenda mbele ni vile tu hawajafanikiwa ila ilitakiwa mechi ya juzi na Leo muwe point sare.

Ukipenda amini, usipopenda acha.
Hizo ni shida zenu wala hatu husiki nazo
 
Feisaaaal weeeee,nasemaaa rudi kambini, huku twadharirikaaaa. Sie ndio wa kupata ushindi wa tia maji tia majiπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜€
Hii kitu napenda sana kuisikia

Wanaokuja kukutia moyo wahakikishe wamevaa na ndomu kabisa
 
Sawa Musonda ni mbovu, Sawa dogo na Baleke ni vifaa, umefurahi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…