Si Ruvu tu, walitegemea hata Ihefu aifunge Yanga akiwa mkiani wakati uleIla Simba kweli ni mbumbumbu.Yaani mlitegemea Yanga ifungwe na Ruvu shooting!.
Bigirimana unamuacha wapi??tutajikuta tupo kwenye lawama kubwa kwa wachezaji kama Kisinda, Kambole
Γsante kwa kunikumbusha.............Mna mechi tatu singida, Tz prisons na mbeya city
TBC taifa alikuwa msumbufu sana jamaa, kila time ana request ngoma za Chief MakerSawa Musonda ni mbovu, Sawa dogo na Baleke ni vifaa, umefurahi?
Imagine! Na Leo squad yote ilikuwa ndani...with poorest performance inclusive
Hivi saizi atakuwa yupo wapi katika safari yake ya kuondoka?Bigirimana unamuacha wapi??
We pisha hapa... angalia point ndo uropoke[emoji849][emoji12]Imagine! Na Leo squad yote ilikuwa ndani...
Shame
Tatizo ni game ya mkoani halafu uwanja mbovuImagine! Na Leo squad yote ilikuwa ndani...
Shame
Subiri warudi kwa mkapa atakula mtu 6.Tatizo ni game ya mkoani halafu uwanja mbovu
Mwezi wa 2 ni siku 8 tu kuufikia ili muanze rasmi na ShirikishoHongera nyingi kwa wananchi. Hakika wapinzani wetu wana wakati mgumu sana. Safari hii sijui wataenda Izrael!!
Maana ile kambi yao ya Dubai imeshindwa kabisa kupunguza gap la point 6!!
Performance chukua wewewith poorest performance inclusive
Katika dakika hizi za lala salama, point 3 muhimu ndiyo kila kitu.Nilisema mshukuruni ile kujifunga leo ilikua droooo
Wasisahau Manula piaRuvu wangeahidiwa hata millioni moia tu wangejituma na kuifunga Uto.
Yah sure....ilikuwaje hyo tuwaulize wachezaji maana ndo wanaumia mioyoKatika dakika hizi za lala salama, point 3 muhimu ndiyo kila kitu.