FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

TAKUKURU fuatilieni Yanga. Mechi ya pili hii wachezaji wa timu pinzani wanafanya makosa ya kimakusudi.
 
Ruvu wangeahidiwa hata millioni moia tu wangejituma na kuifunga Uto.
 
Hongera nyingi kwa wananchi. Hakika wapinzani wetu wana wakati mgumu sana. Safari hii sijui wataenda Izrael!!

Maana ile kambi yao ya Dubai imeshindwa kabisa kupunguza gap la point 6!!
Mwezi wa 2 ni siku 8 tu kuufikia ili muanze rasmi na Shirikisho

Mna Lawena Msonda kwenye game ya Ruvu (kwa Mkapa) na hajafanya chochote

At least sisi Kibu ameanza kutuoneshea kitu ile nafuu tunaiona
 
Mpoki man of the match.Kaona muamala unachelewa kaamua kufunga mwenyewe.
 
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Warudishieni Ruvu goli lao
 
Back
Top Bottom