babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
- Thread starter
-
- #101
Wakitumia vizuri nafasi goli zipo nyingi tu LeoNaona kama sekandi hafu kuna goals zaidi ya 2+
Sioni kama wataweza kuvumiliaWakitumia vizuri nafasi goli zipo nyingi tu Leo
Aliyeturudishia huyu jamaa,alizingua sanaMorison mmemuona jukwaani amevaa crazy colour
1st half nimeondoka dakika ya 37 na mpaka saizi sijarudiWale wasema kweli nipeni abc ya first half,maana sijaangalia kabisa ila sekandi hafu nipo...........Sina points za kutetea timu yangu first hafu,naomba wale wapinzani mnipe abcd Scars OKW BOBAN SUNZU kama mmeona game ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Rais mwenyewAliyeturudishia huyu jamaa,alizingua sana
Hana jipyaMayele vp tena.......
Ulikua unaangalia marudio ya game ya 2020?1st half nimeondoka dakika ya 37 na mpaka saizi sijarudi
Ila mlikuwa mnashambulia sana na Ruvu walikuwa wanakaba sana pamoja na kujilinda
Pamoja π€1st half nimeondoka dakika ya 37 na mpaka saizi sijarudi
Ila mlikuwa mnashambulia sana na Ruvu walikuwa wanakaba sana pamoja na kujilinda
Goals 15 mkuu hana jipya?Hana jipya